Aisee mbna kama napata shida kuelewa [emoji848]Mwanafunzi aliyekuwa akisomea Udaktari mwaka wa 6 kutoka Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya, Ivy Wangechi, ameuawa na mtu anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake aliyekuwa na silaha (shoka na kisu) anaeitwa Naftal Kinuthia katika maeneo ya Chuo hicho baada ya kumyatia akiwa ndani ya gari, Inadaiwa kijana huyo alichukua uamuzi wa kuua baada ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi na marehemu ambaye alikuwa ameuza shamba lake na kumlipia ada chuoni hapo.
[emoji86]