Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulikuwa mwendo wa kufunikana tu kwa warembo wa mastaa hao wa Man United waliotinga kwenye sherehe hizo, kila mmoja akiamua kuja na mitindo yake tofauti ya nywele na mavazi. Shaw aliwabwaga Paul Pogba na Marcus Rashford kwenye tuzo hiyo ya Mchezaji Bora wa Msimu
 
Suti nyeusi na tai nyeusi ndio zilizotawala kwenye usiku huo wa tuzo ambapo Kocha Ole Gunnar Solskjaer naye aliamua kuja kufurahia mambo akiwa ameandamana na mkewe, mrembo Silje. Pogba alipiga mavazi meusi tupu huku akiwa ameandamana na mrembo wake matata kabisa, Maria Salaues.
 
Mashabiki tunaumia vyenyewe vinasherehekea daah
 
Sherehe hizo pengine zilishuhudiwa baadhi ya mastaa wakishiriki kwa mara yao ya mwisho wakiwa mastaa wa Man United. Wahispaniola, Juan Mata na Ander Herrera - ambao wataachana na timu hiyo mwishoni mwa msimu, waliingia ukumbini kwenye sherehe hizo wakiwa pamoja.
 
Mata aliingia na kimwana wake, mrembo Evelina Kamph, aliyekuwa ametinga gauni refu, huku Herrera alikuja na mkewe mrembo Isabel Collado, ambaye pamoja na kuwa mjamzito, lakini aligonga kiwalo kimoja chekundu matata sana.
 
Ushindi wa mabao 4-3 iliyopata mwishoni mwa wiki dhidi ya Eintracht Frankfurt katika mchezo wa nusu fainali, umeifanya Chelsea kuendeleza rekodi ya kutofungwa na timu za Ujerumani kwenye uwanja wake wa Stamford Bridge.
 
Kumbe,mbona ulisema sio mwenyewe nikakafuta ka kideo uwiiiii na upatikanaji wake mgumuuuu in naniii voice hahahaha
Kuna viashiria viliniaminisha video si halisi!

Unajua vile Mungu si mjinga, prints za viganja vyake vinatokea sawa sawa.

Siwezi kuwa mbishi. Kama ni Mtumishi wa Mungu kweli wacha Mungu ajidhihirishe.

Pole kwa kavideo, nadhani ipo jukwaa husika, ukiitaka nambie.
 
Aah kumbe basi ngoja niisubirie kesho kwa hamu tuone atakachoongea

#kakideokanachoshahakanastylenyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…