Salama mkuu, habari ya majukumu? Nipo nabadilisha rangi ya kitufe cha like kiwe cha blue huku nyuma.ANDJUL MKUU HABAR YAKO
Kula likesUsiku mwema babe S
HahahaUjazweeeeeeeeeee
Nimetoa mkuu
Naona unang'ata na kupulizaNiambie kiongozi
Kula likes zakoNimetoa mkuu
Amezoea kule..""hapa like kwa likes""..tuwakumbushe mpaka waeleweUkiingia huu uzi fata utaratibu mkuu.
Post na likes simultaneously
Kula likes zako kwanzaUrafiki wa wawili unapita watatu.
Kama kawaida watake wasitakeTunawajua..lazima wacheze muziki wetu..""toa likes upate likes""
Watakuja hapa kutiririka wenyewe. Ni wake wenza? Carpa yaani mpaka roho inaniuma. She has this unique calmness, exceptionalism and collectiveness mpaka inaniwia vigumu kuamini ilikuwaje mpaka akaangukia mikononi mwako. Ulimvisha pete immediately au ulitumia mbinu gani?Hahahahaha.
carbamazepine na sammyluv wananifahamu vizuri hizi tuhuma ni za uongo kabisa mzee wa data.
Hak wawili ndio na nawaamini
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fisi anakukula huku anakucheka
DuuuhNakumbuka neno lako.
"Niamini"
HahahahahCha mwenzio mavi ukikiona kiheshimu.
We unajua venye unavyonichoshaga usiku imebidi nipunguze uchovu kidogocarbamazepine alikuwa anakuulizia maana nami nilikuwa nakutafuta baby
Karibu tukeshe huku kwetu usingizi ni wa mgao leo zamu ya majiran kulalaNipo nililala kidogo leo nitakesha humu
Kipindi hiki cha huyu mkuluChakula kilicho mbali usipokipata, unaweza kupata kwa wengine.
Ukimalizana na hizi pilika za likes nijulishe mamaa Sawa...Nambie
Mamaangu kipenzi cha mie.. huyooo... Niambie mamaAbeee!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee. Never thought of this before. Simba anakamata koo unakata pumzi 2 minutes ushakufa. Fisi alivyo mjinga na mroho anaweza kukula kuanzia miguuni [emoji23][emoji23][emoji23]