Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

That's my girl right here...
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Asante Mungu kwa hili pito pia ninalopitia, hakika kuna makusudi yako. Ni ngumu sana kujiandaa kisaikolojia kumwondoa akilini msichana pekee unayempenda. Nakupenda sn P but naona kila aina ya dalili za kuvunjika kwa penzi letu.
Mkuu pole sana ila huo si mwisho,broken heart heals its just the matter of time...wakati mwingine things happens for a reason...pole though
 
Asante Mungu kwa hili pito pia ninalopitia, hakika kuna makusudi yako. Ni ngumu sana kujiandaa kisaikolojia kumwondoa akilini msichana pekee unayempenda. Nakupenda sn P but naona kila aina ya dalili za kuvunjika kwa penzi letu.
Mwanaume jikaze acha kulia lia. Nyie ndiyo huwa mnaishia kujinyonga kisa eti umeachwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…