Una mashine????Nikubali niwe wako[emoji124][emoji124][emoji124]
Na huyo kwa neno ni kiboko. Alishusha mistari ya Wimbo Ulio Bora hapa juzi mpaka watu wakaingiwa na Roho Mtakatifu. Ng'ombe anazo lakini?Aje tu nimpeleke kwa mama,mamaangu kasema anataka mkwilima mwenye kushika neno
Malizia bhasi mtaje basi...Kwa mfano ningemchagua huyo wa .....
Bado mambo ya kidunia yanamsumbuaNa kichwa je?
Mkuu usifikie hatua hiyo, upo na rafiki zako hapa, lifikishe kwa njia utakayo ona inafaa tulimalize. Dakika ya uhai wako ina thamani kubwa sana kwa jamii inayo kuzunguka. gbefa tumesha zoeana, hatu hitaji kupungua japo hatuwezi kuzuia. Be strong brother[emoji102]
Mkuu maisha yangu yamepoteza Furaha 100% kwetu kungekuwa na bastola nishatangulia mbele za haki [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji22] [emoji22]
Cheap popularity. Useless politics...
Ooppss sorry...anyway who knows hiyo siku inaweza kutokea tu mungu akipangaNo. Avatar tena. Mubashara like in "kumbe wewe ndiye Carpa? Nimefurahi hatimaye nimeweza kukuona laivu na kushika mikono yako!"
Just want to know who is sammyluv next choice...Bro, what game are you trying to play?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Eti mimi na wewe tulikuwa an item. When? Where? How? I appreciate your intelligence na jinsi ulivyo calm na hiyo miwani yako ya classic librarian basi naishia hapo...and I have made this clear several times. Sasa naanza kusingiziwa mengine. Au wanataka kunichonganisha na Jakitoo wangu? Washindwe na walegee!
Namuogopa kichwaMalizia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Msamehe mdogo wako ni uwezo wake mdogo TuMjibaba umepata boom unakuja kutamba nalo huku. Halafu siku makato ya kurudisha hiyo boom yakianza utasikia makelele kibao...
Umenifanya nicheke kwa nguvu khaaa...akikujibu niiteUna mashine????
Sema!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una mashine????
Ndo mana mm kusoma kwa kukariri nilikua sipendi utakuta alifaulu kwa kukariri.Mjibaba umepata boom unakuja kutamba nalo huku. Halafu siku makato ya kurudisha hiyo boom yakianza utasikia makelele kibao...
Akikubali mi nikishauza pamba nitampa hela anunue ng'ombe apeleke kwetuNa huyo kwa neno ni kiboko. Alishusha mistari ya Wimbo Ulio Bora hapa juzi mpaka watu wakaingiwa na Roho Mtakatifu. Ng'ombe anazo lakini?
Walaaaa.. Nimetulia ujue!!!Utulie na ndoa yako muone...alafu tabia ya kutusingizia na SHIMBA YA BUYENZE sio nzuri ujue?...isk sijaona kama kakaribishwa humu naona watu wako busy na familia zao wanayajenga kasoro wewe[emoji16] [emoji16]
Ngoja nilewe kwanzaMalizia bhasi mtaje basi...