Kama Corea wanayo yao tu wanatumia wenyewe ndani ya nchi yao, hawa China kweli wapo wengi pia wanauzalendo sana labda wanaweza kuunga mkono chanyumbaniManake watumie wachina tu😀😀
Ila wachina bado ni wengi sana wanaweza fanya kitu!
Wako mtu billions! Wanaweza kufanya mambo yao, wakubaliane kutotumia bidhaa za US kwa muda ..
CookieView attachment 1104199Tarraj....
ImagineNijambo jema maana kuna watu wanastahili hiyo kitu
Kupendana tunapendana sana lakini kutofautiana pia kupo, pia kutokuepo kwa guns sio kwamba ndio watu hawatouana mbona watu wanatumia ata visu tuTunashindwa nini kupendana, kuutoa uhai wa mtu kwa makusudi sio Jambo jema. Wish dunia iwe na amani
Kutengeneza bunduki, makombora na mizinga ni utumiaji vibaya wa akili binadamu aliyopewa na Mungu.Kupendana tunapendana sana lakini kutofautiana pia kupo, pia kutokuepo kwa guns sio kwamba ndio watu hawatouana mbona watu wanatumia ata visu tu
Cain na Abel kitambo sana walishafanya hili tukio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Morning to youG. Morning Every Body!!
Basi sawaKutengeneza bunduki, makombora na mizinga ni utumiaji vibaya wa akili binadamu aliyopewa na Mungu.
Sijambo Davet, mmeamkaje huko kwenu?Basi sawa
Hujambo?