Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilikuwa nataka tu nikufundishe kuwa sisi wote hatujui kuandika vizuri, hata wewe na mimi tunaorekebisha watu wengine kuandika hatujui...so tujifunze kwanza kujua kuandika ndo tuanze kurekebisha watu
Wewe Ni mbululaz na huwezi elimika kamwe. Element na helmet haviwezi fanana hata siku moja. Ninapo andika vzr, bhana, km , lkn. .hivyo ni vifupi tu. Baki na element yako usinichoshe.
 
Wewe Ni mbululaz na huwezi elimika kamwe. Element na helmet haviwezi fanana hata siku moja. Ninapo andika vzr, bhana, km , lkn. .hivyo ni vifupi tu. Baki na element yako usinichoshe.
Sawa mi ni mbulula kutokana na wewe unavyoona na tufanye wewe unaakili...jamaa kaandika element but wewe unajua kabisa hujui kiwango cha elimu cha jamaa...watu wengi mtaani ambao hawajaenda shule huwa wanaviandika vitu kutokana na wanavyovisikia na ndo mana wewe umeelewa na ukamrekebisha...but post kama zile watu wanamatatizo na wanatafuta msaada si vizuri kuenda na kuanza kurekebisha maandishi wakati umeelewa....ingekuwa ni ndugu yako anamatatizo akakosea kuandika ungeanza kumrekebisha jinsi ya kuandika??? Any way nahisi nimekukwaza ndugu yangu naomba unisamehe katika maisha ya kila siku tunatofautiana mitazamo....samahani sana...uwe na siku njema
 
Sawa, haya nenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…