Amin πMzee Ruta pamoja na sisi wote ni wanadamu, kama binadamu kuna kifo, maradhi na changamoto nyinginezo nyingi.
Mwenyezi Mungu amjaalie Mzee Ruta huko aliko
Unapenda sana kufurahi!
ππππHii ndiyo nguvu ya mafyekero, shenzi tyapuView attachment 1104885
Very Nice! Niambukize mimi pia. Nataka kufurahi/mwenye furaha kama wewe!!sanaaππ
ooh,apo sasa ndo mtihani huanza πββοΈVery Nice! Niambukize mimi pia. Nataka kufurahi kama wewe unavyo furahi!!
ππ bro huu ujio wako wa leo naukubali
Mwezi huu ni vizuri kutoa Elimu Bro, najua baada yamwezi huu ustaharabu itakua hakunaπππ bro huu ujio wako wa leo naukubali