Kula likeNami naomba hizo likes
Moudy we mpole kwani?Kuna siku ulisema wapole ni wanafiki kwenye mahusiano, nikadhani wewe siyo mpole
L
πππ[emoji23][emoji23][emoji23]Watu hatutaki kukupoteza. Tunakuvutia kasi tuone wewe ni wa aina gani, wakishakujua watakutania sana.
Mi mpole
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu hatutaki kukupoteza. Tunakuvutia kasi tuone wewe ni wa aina gani, wakishakujua watakutania sana.
Mi mpole sana, ila siyo mnafiki.Moudy we mpole kwani?
Etiii?Hahah! Wataniaji wapo utawaonaga tu sisi wengine wabebishaji tu
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Safi sana.. mpole au mkimya? kuna tofauti ujue?Mi mpole sana, ila siyo mnafiki.
Pamoja na upole wangu mtu akija vibaya namchana kinyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahaha, wabebishaji wapo hapa[emoji1787][emoji1787]Etiii?
Chelsea have paid Β£93m in compensation to sacked managers since 2004
Mi mpole, ukimya sina. Tukiwa pamoja nitakumwagia domo mpaka basi,[emoji849][emoji849][emoji849]Safi sana.. mpole au mkimya? kuna tofauti ujue?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]