Kumbe umeona 😂😂Hahahaha, wabebishaji wapo hapa[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] ufisadi upo kila kona bro,
Asanteni nimepata tayari likes si xhini ya 10Nami naomba hizo likes
Hahahaha
Mi mpole sana, ila siyo mnafiki.
Pamoja na upole wangu mtu akija vibaya namchana kinyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Naona!Hahahaha, wabebishaji wapo hapa[emoji1787][emoji1787]
Noma bro mji una mambo huu
Asanteni nimepata tayari likes si xhini ya 10
😂😂 hasira za Mei mosi😂😂😂😂walimu wengine wana roho za korosho
😂😂😂Una 11 sasa Mkuu. Weka likes upate likes
Acha ubahili..
Chukua na hiyo nyingineAsanteni nimepata tayari likes si xhini ya 10
Davet Wewe!
Tafiti zinasema Watanzania hatuna furaha sasa wacha tutengeneze furaha wenyeweDavet Wewe!
Wengi sana,kulikua na vituko vya kila aina. Kituko kimoja utakoshuhudia mbeleni kinaitwa mbioooo,yaani ikikaribia post ya milion uyashangaa zinaibuka ID ngeni ngeni uzi utakua fasta sana ili mradi kila mmoja anataka rekodi ya kuikamata post ya million.Hahah! Wewe ni mtu mkubwa humu ndani nimeona page ya kwanza tu ulishatia timu mpaka leo unaendelea kutupokea wageni
Nambie kidogo zamani ilikua vipi humu au wadau walikua wengi sana?
Hahahaha,Hmmmm! Utadhani kaandika BAK [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe umeona [emoji23][emoji23]
Daah leo umeumia sana pole. Tushazoea hii mbona bro na anko wanafahamu vizuri tu na walishaongelea hii mpaka kuanzisha msemo mafekero.com.[emoji23][emoji23][emoji23] ufisadi upo kila kona bro,
bahati mbaya mnagonga likes bila kuangalia kinachofanyika huko tulikotoka.
Huko ndiko wahusika wakiwa wametulia nyumbani kwao hujimwagia malikes kupitia utitiri wa fyekero wanazomiliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahaha, eti kusaka maarifaHahaha eti fair play,humu hamna fair play. Tena siku hizi ni kijiwe cha maarifa zaidi kuliko kusaka likes. Zamani mambo yalikua moto moto hadi raha