Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vita, njaa, vifo, maradhi – ni vitu ambavyo wengi wamevisikia na kuvifahamu kuhusu Afrika. Lakini sasa ni wakati wa kubadili mtazamo huu.
huu mtazamo utachukua karne moja kubadilika dada yangu, huku kwetu zenji ukubwa wa visiwa ni takribani km 2500 lakini mwanasiasa mpaka leo akisimama kwenye kampeni anazungumzia ishu ya maji, dawa, barabara ya lami.
ovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…