D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Sawasawa...Pili ni kodi kwa sababu kila biashara inalipa kodi na kila mfanyakazi analipa kodi. Sasa ukitazama serikali inarejesha pesa zake za Working Tax Credits kwa kupitia ajira hizi kwa sababu mzazi humpeleka mtoto wake akilipiwa asilimia 70 kutoka katika hizi Tax Credits zinazotoa ajira nayo huzaa kodi nyengine mpya kwa serikali kwa wafanyakazi katika sekta hii. Ukitazama huu ni sawa na mkakati mwengine wa kuongeza mapato wa kutoa kidogo kusaidia jamii inayohitaji msaada, huku nao wakizirejesha kwa waajiriwa wanaotoa huduma ambao nao hulipa tena kodi kwa HMRC kwa ajira zao.
Kweli kasbisa..Jasiri hukubali kukosolewa, husimama na haki hata pale ikiwa inamuathiri mwenyewe na zaidi huhimiza utu, ukweli, wema na ihsan. Jasiri ni anayekubali kushindwa uchaguzi badala ya kuufuta hasa baada ya kushindwa, jasiri haogopi kusema ukweli, haogopi kuitukuza haki na uhuru wake na zaidi jasiri hayumbi kwa lililo na utu.