myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Huo ndio ukweli..Mbabe ni muoga asie na ukweli, hutumia nguvu, majigambo na majisifu ya kujitukuza kuuficha udhaifu wake wa uoga wa kukosolewa akijuwa wazi matendo na kauli zake hayaendani na utu. Mbabe hupenda sifa na kusifiwa, hujilimbikizia utukufu asiejadiliwe kwa matendo yasio na utu. Mbabe hana maadili, hana sheria na haki yake ni ile yenye maslahi na yeye tu.