Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mfano hebu fikiri unahofu ya kuzungumza mbele za watu, kisha unakunywa pombe ili upate ujasiri; moja kwa moja unaweza kufanya vituko au kuwa jasiri kupita kiasi mbele za watu na ukajiaibisha zaidi.
 
1995 ilikuwa habari nyingine,
NCCR Mageuzi ilikua moto chini ingawa ilituhumiwa kuwa shughuri zake za kisia ziliratibiwa na watumishi wa taasisi nyeti.
...in Mwl. Nyerere's voice....

Mrema alimtetemesha sana 1995...Maandaeitini wengi humu mlikuwa hamjazaliwa...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Zungumza na omba ushauri

Hakuna tatizo jipya duniani; hofu inayokukabili wewe ilishawakabili watu wengi na wakafanikiwa kuishinda. Hivyo omba ushauri na zungumza na mtu sahihi ili akusaidie kukabiliana na hofu yako.

Uliza njia ambazo watu wengine wanazitumia kukabili hofu kama yako; kumbuka kuwa kuzungumza kile kilichoko katika fikra na moyo wako ni tiba kubwa sana itakayokuwezesha kukabili hofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…