Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umehamia AVFC??
teh teh no stress, nasubiri muarabu atambulishwe rasmi pale newcastle united.
najua kuna financial fair play lakini si tatizo, tutakachokifanya ni kuingia mikataba ya gharama itakayotuwezesha kupata hela ya kutosha kufanya usajili.
mkuu nahamia newcastle united muda wowote kuanzia sasa
 
Nadhani unatania! Bro wewe si shabiki mkereketwa wa UNITED ama nakufananisha??
 
Mmmh jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani unatania! Bro wewe si shabiki mkereketwa wa UNITED ama nakufananisha??
man utd si timu ya baba yangu wala ya mama yangu.
mkuu fanya tuhamie newcastle united kwa wachimba mafuta.
wajua ya kwamba mwanzoni waarabu kutoka family ya sheikh mansuri waliitaka liverpool kwa takribani trillioni 5 za kitanzania wakakataliwa.

sasa wanaelekea kuipata newcastle united kwa billioni 800 za kitanzania, hela iliobakia tunaingiza kwenye kuendeshea timu.
sheikh mansuri na familia yake siku za mbeleni watazimiliki timu nyingi sana
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Nenda tu bro, nakutakia kheri huko uendako πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…