Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, huku ikishika nafasi ya 5 Afrika kwa kuwa na watumiaji wengi wa bangi (milioni 3.6) licha ya kuharamishwa. Kenya ni ya pili Afrika Mashariki, ina watumiaji milioni 3.3, na Uganda watumiaji milioni 2.6, utafiti wa New Frontier Data umeonesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…