Hahah! Naelewa broKipendacho roho Bro,
Man U ni sehemu ya Damu yangu 🤨
Ni maiti na mijoka tu kama ya Malkia..
Sitaki kuota mie!
This is it.Hahah! Naelewa bro
View attachment 1109899
😂😂😂😂Ni kweli kamanda, maana hata mwenyewe nilivyoona hiyo nilishangaa[emoji41][emoji41]
Nilichelewa kidogo tu yaani. Hubby wake alicharuka sana kumgombesha akaitoa pale pale. Sema tu baadaye nilifanikiwa kupitia juhudi zangu mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah bro bro
😥😥😥😥Huyu hapa Kamwene alianza la kwanza 2005[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hili unafikiri tungefika hata tunakoenda? Tungeshukia njiani aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Niwekeni na mimi kwenye list bro 😀Fanya kunitumia kamanda [emoji2089][emoji2089]
Dah..😂Ndio maana hii mifuko imepigwa marufuku!Midoli gani? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1109821