Usiku mwema ndugu zangu. See you later
Bado ligi tamu:
1. Vipakti vya Chumvi ni plastic
2. Nailoni zinazotangulizwa ndan ya mifuko ya sukar ni plastic
3. Mifuko ya kuhifadhi mikate na Sikonzi ni plastic
4. Mifuko ya kuhifadhi mabegi yasiingiwe vumbi ni plastic
5. Mifuko ya kuhifadhi kandambili, viatu na yebo ni plastic
6. Mifuko mieupe inayotumika kubeba nyama machinjion ni plastic
7. Mifuko inayotumiwa na NECTA kutunzia mitihani ya kidato cha 2,4 na 6 ni plastic
8.Maziwa fresh na mgando nayo hutunzwa kwenye vifuko vya plastic
9. Mafuta ya kujipaka nayo huhifadhiwa kwa dazani kwenye Plastic
10. Mizani inayotumiwa na wafanyabiashara nayo huja ikiwa mipya ndani ya plastic.
Elisha Ekonia Mc
Hivi lengo la kuzuia hiyo mifuko ni nini?
Kuna mvuvumko duniani kote kupambana na plastiki kwa ujumla wake. Haiozi, inaharibu mazingira na inatishia ikolojia ya bahari - ikolojia ambayo maisha ya mabilioni ya watu yanategemea ili kuendesha maisha yao. Nchi nyingi sasa zinapiga marufuku mifuko pamoja na chupa na teknolojia mpya zinatafutwa ili kujaribu kupunguza kwa kadri iwezekanavyo matumizi ya plastiki. Ni trend duniani kote.
Mifuko na chupa zinaandamwa kwa sababu ndiyo zinatumika sana na ndiyo zinaongoza kuleta bugudha za waziwazi za kimazingira mf. Kuziba mitaro ya kusafirisha maji mvua zikinyesha na madhila mengine katika maisha ya kawaida.
Haiwezekani kuangamiza plastiki kabisa kabisa. Ni kemikali ya muhimu katika mafuta na katika vitu vingi vingine. Nadhani lengo ni kupunguza tu na kubakiza yale matumizi ya lazima japo katika nchi zilizoendelea wanajibidisha sana kutafuta tekinolojia mbadala na serikali inatoa vimotishaji (incentives) kwa makampuni yanayojitahidi kubuni mbadala wa plastiki; na plastic recycling sasa ni biashara inayoingiza mabilioni.
Salam kwenu wote..
Iwe siku njema kwetu wooote..
Kuna mvuvumko duniani kote kupambana na plastiki kwa ujumla wake. Haiozi, inaharibu mazingira na inatishia ikolojia ya bahari - ikolojia ambayo maisha ya mabilioni ya watu yanategemea ili kuendesha maisha yao. Nchi nyingi sasa zinapiga marufuku mifuko pamoja na chupa na teknolojia mpya zinatafutwa ili kujaribu kupunguza kwa kadri iwezekanavyo matumizi ya plastiki. Ni trend duniani kote.
Mifuko na chupa zinaandamwa kwa sababu ndiyo zinatumika sana na ndiyo zinaongoza kuleta bugudha za waziwazi za kimazingira mf. Kuziba mitaro ya kusafirisha maji mvua zikinyesha na madhila mengine katika maisha ya kawaida.
👊👊Puliiiiziiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Najua Kuna Dem mahali anaringa na hata ameoga na sabuni ya kousha vyombo[emoji23][emoji23][emoji23]
My sister be humble[emoji19][emoji19][emoji23][emoji23]
Umeamkaje?GoodMorning Everybody!
Hahah!Ulikosa usingizi kabisaaaaa ukaanza cheza na popo aiseee
Kibaha + Mzumbe [emoji122][emoji122]
Salama..Na wewe piaGoodMorning Everybody!
Shukrani mkuu, kwako piaAsubuhi njema bro
🙏 🙏Kupunguza uchafu, inadaiwa mifuko ya plastik inachukua muda mrefu kuoza hivyo kuharibu mazingira
Waleykum salaam kakake,habari yako
Baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Twitter wamewasilisha maombi yao ya kutaka kuolewa na mtu tajiri zaidi barani Afrika Aliko Dangote, baada ya gazeti la Uingereza Financial Times kuripoti kwamba anatafuta mke.
''Hivi sasa sina wakati kwa sababu tuna kiwanda cha kusafishia mafuta, tuna kemikali za mafuta, tuna mbolea, tuna bomba la kusafirishia gesi," bwana Dangote alisema, akiongezea: Nahitaji kutulia kidogo.