Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabla ya ujio wa mifuko ya plastik Tanzania na hata Afrika, tulikua tunatumia mifuko au vikapu vitokanavyo na maganda ya miti na baadhi ya majani ambayo haikuleta uharibifu wa mazingira.
Sasa tuelekee tena huko, tukatumie vikapo vya ukindu, matawi ya mnazi na kamba za miti ambazo ni salama kwa mazingira tunayoishi
 
Hahah!

Channel gani hiyo wanaonyesha hao wanaharakati?
 
Wenzetu tayari wameanza...


 
Duuu, acha nije nami niwategee mitego.
Matatizo mengi tuliyonayo yanatokana na vitendo vyetu wenyewe.
Majoka yameshakuwa tatizo la kimazingira
 
Sijui itakuaje tu ila naimani tutazoea na maisha yataendelea pia itaongeza ubunifu na kukaribia kwa teknologia mpya kama India nasikia wanatumia mifuko ya plastic ila yao ukiiweka kwenye maji inayeyuka na kupotea kabisa
 
Duuu, acha nije nami niwategee mitego.
Matatizo mengi tuliyonayo yanatokana na vitendo vyetu wenyewe.
Majoka yameshakuwa tatizo la kimazingira
Haya ni noma. Yamekula panya yakawamaliza. Sungura yamefyeka. Mbweha yanabugia. Mbwa...Ndege wakubwa...Kwa ujumla kila kitu kinacholika menyewe yanameza tu. Eneo lenyewe linaitwa Everglades na ni hifadhi ya taifa. Ni eneo lenye majimaji mengi na lenye utajiri mkubwa wa wanyama wa kila aina. Sasa yenyewe yanataka kubakia pekee...

Kama una mitego mizuri nenda aisee. Utapiga hela balaa [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…