Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nami nilisikia hivyo. Wale kunguru wakorofi waliletwa sijui kutoka Pakistani huko ili waje wasaidie kula uchafu. Matokeo yake wakawafurusha wale wa kienyeji na kugeuka kero kubwa...
umenikumbusha hadithi ya chairman mao tse tung alipoanzisha kampeni ya kuwaua ndege aina ya sparrow mnamo mwaka 1958.
pumbavu zake alisababisha envoronmental calamities nchini china, chezea food chain

unaambiwa baada ya miaka mitatu ya kampeni hiyo inakadiriwa watu millioni 45 walifariki kwa matatizo mbali mbali ikiwemo njaa.
wale ndege waliuawa na ni kweli walikuwa wanakula sana nafaka kama kawaida lakini walileta faida ya kuwaua viwaviwavi wanaoshambulia msosi pamoja na wadudu wengine

walipoondoka ndege viwaviwavi wakavamia msosi, balaa likaanzia hapo, ubaya wa viwavi wanakula mpaka majani ya miti midogo

In 1958 Mao Zedong ordered all the sparrows to be killed because they ate too much grain. This caused one of the worst environmental disasters in history

 
Dar es Salaam kulikuwa na kero ya Kunguru
Mnamo mwaka 1988-89 Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam waliendesha kampeni ya kuangamiza Kunguru weusi (Kunguru wa Zanzibar). Ndege hao ambao historia inatueleza kuwa waliagizwa na mzee Karume toka India ili wasaidie kusafisha mji wa Zanzibar walikuwa kero.
Jiji liliwatumia maofisa maliasiri kuwapiga risasi ndege hao na wananchi waliruhusiwa kuwaangamiza kwa mitego na wakalipwa. Kampeni ya kuwatega iliendelea kwa muda mrefu nadhani sasa kuna unafuu
 
mkuu hao kunguru wa zanzibar ni shidaa, unaambiwa wanapokuwa na njaa hata ukianika nguo yako ya ndani(chupi) wanaivamia wakidhani msosi πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
nawaonea huruma sana wanaofuga vifaranga vya kuku halafu wanawatoa nje.
 
Hayo majoka ingawa hayana sumu lakini ni hatari sana kwa kunyonga,.
Ukikosea likidaka mkono wako na bahati mbaya uwe peke yako utajuta.
 
Duuh! Shukrani sana bro hii ilikua kitambo
 
Kila kiumbe kwenye food chain aisee kina kazi yake. Ukitibua tu unaleta taabu. Huwa naisikia hiyo njaa ya China iliyoua mamilioni ya watu wakati wa Mao ila sikujua kama ilisababiswa na maamuzi mabovu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…