capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Amina, na kwako piaAhsante kwa tabasamu🙂
Uwe na siku njema.
Ndiyo maana nimesema aambatane na Moud kwenda kupiga hela...Huyo bidada sindio mwenye uoga wa majoka na ile midoli ulipost [emoji3]
Wale wenye baka jeupe nawaona sana mikoani ata Kanda ya ziwa ndio wapo wenyewe, kumbe walikimbizwa mjini 😀😀Hawa kunguru unaowana leo ndiyo hao wa kigeni.
Kunguru wenyeji ambao mara nyingi ni waoga wana baka jeupe shingoni.
Hawa Kunguru wa kigeni si waoga na ni wakali.
Kwa ukali wao wamefanikiwa kuwatimua kunguru weupe
AsanteOoH
Karibu sana,..
Excellent answer...
Viungo hivi si ajabu utasikia vinaongeza zile nguvu zinazoongoza kwa kupotea [emoji16][emoji16][emoji16]
Kila asubuhi. Faida lukuki...
Kila kitu siku hizi kinapewa huo uwezoViungo hivi si ajabu utasikia vinaongeza zile nguvu zinazoongoza kwa kupotea [emoji16][emoji16][emoji16]
Uliwaona ulipokwama Mwanza eeeh!? [emoji23][emoji23][emoji23]Wale wenye baka jeupe nawaona sana mikoani ata Kanda ya ziwa ndio wapo wenyewe, kumbe walikimbizwa mjini [emoji3][emoji3]