[emoji125][emoji125][emoji125]99.99% possibility ipo [emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣[emoji125][emoji125][emoji125](utadhani nimeulizwa mimi nilivyo na kiherehere) Ile labda ya tokotokotoko[emoji444][emoji443][emoji445][emoji444][emoji443][emoji445][emoji445][emoji443][emoji445]
Wanatuchanganya na hii mifungo yao dadeki. Wanatiririka vizuri kwenye mada hizi korofi halafu vu bin vu breki za swaumu hizoo...Mwenzio yupo kwenye mfungo bro[emoji2]
Muone! Kama vile hukuwepo [emoji16][emoji16][emoji16]Zilipendwa mliinjoy eeh?.. mpaka kuwe na uzi mpya uje kivingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
The Happiness nawe umefunga?[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanatuchanganya na hii mifungo yao dadeki. Wanatiririka vizuri kwenye mada hizi korofi halafu vu bin vu breki za swaumu hizoo...
Anewei...I am out [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Smokey upo? ile safari yako ya kijijini kusikokuwa na Interneti umeghairisha?Kama ulijua vile 😃
Hivi kwanini hujasahau lakini? Mi nilishasahau Kama nilisema nasafiri 😀😀😀Smokey upo? ile safari yako ya kijijini kusikokuwa na Interneti umeghairisha?
Sikuwepo.. enzi hizo nilikuwa mpendwa msomaji wa nyuzi za matukio tu!Muone! Kama vile hukuwepo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwenye uzi huu ukisema kitu hakisahauliki kamwe. Hata uje baada ya miaka mitatu utakuta watu bado wanakumbuka tu [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi kwanini hujasahau lakini? Mi nilishasahau Kama nilisema nasafiri [emoji3][emoji3][emoji3]
Aaaa wapi....Sikuwepo.. enzi hizo nilikuwa mpendwa msomaji wa nyuzi za matukio tu!