Hamfai, haya mi naenda kulala .Kwenye uzi huu ukisema kitu hakisahauliki kamwe. Hata uje baada ya miaka mitatu utakuta watu bado wanakumbuka tu [emoji16][emoji16][emoji16]
😁😁😁 AbstainWanatuchanganya na hii mifungo yao dadeki. Wanatiririka vizuri kwenye mada hizi korofi halafu vu bin vu breki za swaumu hizoo...
Anewei...I am out [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Haya lala salama na malaika wakulinde [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hamfai, haya mi naenda kulala .
Sijambo Fraggy, hali yako?😁😁😁 Abstain
😁 Ulisema naniliu akirudi hutakuwepo!Hivi kwanini hujasahau lakini? Mi nilishasahau Kama nilisema nasafiri 😀😀😀
Mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe...Dah! Vile nmeshambuliwa sijaamini [emoji51] [emoji51]
Abstain from what?[emoji16][emoji16][emoji16] Abstain
Nani huyo kamshambulia coco wetu?Mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe...
Be proud of yourself bro...
Huwa nakwenda nyuma nazisoma...Aaaa wapi....
Mbona stori zote za kipindi hicho unazinyaka?