Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila kitu kinatokea kwa sababu Mungu amekuepusha na jambo mpendwa.
dah pengine upo sahihi.
lakini wizara ya fedha ni taasisi nyeti nyakati hizo wazee wa debit and credit wanahesabika.
si ajabu leo hii ningelikuwa nipo juu ya professor assad bin ndugai bin makinikiyya bin noah bin serengeti lager.

katu usimuamini daemusin chochote anachokiandika, anasumbuliwa na ugonjwa wa kushiba futari na uji wa nyama ya ng'ombe ya kusaga
 
Nilitaka kuandika comment ndefu ila hiyo aya ya mwisho imenifanya nicheke na nistop πŸ˜€πŸ˜€
 
Utakuwa na maongezi mazito na wangapi bro? Na mimi nimemfanya nini The Hapiness mpaka akapoteza happiness akaenda kulala bila kuaga? Usinisingizie bro...
[emoji23][emoji23][emoji23]maweee iwee bojo chonka mawe

Happiness njoo watu tupate ubuyu

#anywaykijanauzihuutalakanjenje[emoji23][emoji23][emoji23]

Estraa keafuli
Nmemuona katoka nduki hapa ..

Na hakuniaga si kawaida yake.
Muite na The Happiness twende wote tukawachape hao wachokozi [emoji23][emoji23]
Nimerudi Jamani,

[emoji23][emoji23]nyie watu mmenichekesha sana leo
 
Nilitaka kuandika comment ndefu ila hiyo aya ya mwisho imenifanya nicheke na nistop πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
raha ya ramadhani vile vyakula unavyo kula kwa mwezi mara moja unajikuta unavila kwa siku moja, stress za njaaa zinaondoka ghafla pindi unaposikia adhana.
wanawake oyeeee, uwepo wao unatusaidia kuepuka kula vyakula vilivyojaa chumvi nyingi kama maji ya bahari.
 
Kwa kweli. the Silent watcher
 
Hahahaha kwamba tunaweka chumvi nyingi kwenye chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…