Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha mpendwa naanzaje kukukaribisha kaka hali ya kuwa nyumbani kwangu ni kwako wew unapita ukikuta futuru unakula haina tatizo.
Asante sana. Nilikuwa nawaza mengi sana. Nilimuuliza mdau hapa akanikasirisha aliposema eti wengine hatukaribishwi sababu ya ukafiri wetu dah...Fo shua nitazamia....
 
Sipati picha maana poti atapotea JF mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…