Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Short cut ya kuwa na kitambi kwa level yake ni ufisadi tu. Kitambi kitakuja chenyewe tena fasta....Mbunge aitaka Serikali imfahamishe lishe bora ambayo itamfanya awe na kitambi!
Uwanja ulidondoka au ilikuwa ni ugaidi?Siku kama ya Leo 1985.
Heysel Stadium Brussels Belgium.
Tunawakumbuka wahanga 39 wa tukio hiliView attachment 1111459
Acha uzembe kwa kusingizia maandiko [emoji16][emoji16][emoji16]
Poleni walezi wetu nyumbani..
Wagonjwa Mungu awaponye
Jioni iwe njema na ya utulivu...