Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ile ishu ya jana (zile pea mbili mbili) ndo umeipotezea mazima au inakuwaje sasa The Happiness?[emoji16][emoji16][emoji16]. Enewei lala salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Usiku mwema wapendwa,
[emoji23][emoji23]
Shukrani bro,Mungu anasaidia,chimbo lipo poa kabsa
Nitakusaidia kuwapata! Na Carba naskia yupo hapo!Huyu na Davet ndiyo kwanza wako festi yia. Ngoma bado mbichi kabisa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Nakwenda hapo kupiga chaki Novemba waombe sana nisiwafahamu. Nikiwafahamu aisee itakuwa msala wa kufa mtu. Niko tayari kuchomea kwa malekichara wao wapigwe sapu kidogo ili akili ziwakae sawa [emoji16][emoji16][emoji16]
Salama bro,habari ya uzima?mfungo unaendaje hukoSalaam bro ninge
Kwema kabisaaa. Vipi huko? Naona umebanwa sana. Unaonekana kwa nadra. Natumaini kila kitu kiko sawa...Kwema bro?
Aisee. Wote hawa piga sub. Ukinisaidia kuwapata aisee itakuwa poa sana [emoji16][emoji16][emoji16]Nitakusaidia kuwapata! Na Carba naskia yupo hapo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeHuyu na Davet ndiyo kwanza wako festi yia. Ngoma bado mbichi kabisa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Nakwenda hapo kupiga chaki Novemba waombe sana nisiwafahamu. Nikiwafahamu aisee itakuwa msala wa kufa mtu. Niko tayari kuchomea kwa malekichara wao wapigwe sapu kidogo ili akili ziwakae sawa. Siyo mtu unakaa unazinduliwa zinduliwa au unaongoza TRM halafu upate A darasani. Shwaiiini kabisa !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha hahAisee. Wote hawa piga sub. Ukinisaidia kuwapata aisee itakuwa poa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Nitakusaidia kuwapata! Na Carba naskia yupo hapo!
Miyeyusho tu sis hakuna kitu hapo [emoji16][emoji16][emoji16]Cc: Bro SHIMBA YA BUYENZE njoo huku
Huku kwema Bro,mvua tu,,nilikuwa busy busy kidogo,,kila kitu kipo sawa bro,namshukuru Mungu.Kwema kabisaaa. Vipi huko? Naona umebanwa sana. Unaonekana kwa nadra. Natumaini kila kitu kiko sawa...
Ai emu siriazi bro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
Hii comment nimecheka sana,kwamba Bro lazima utukanyagie sapu zituhusu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee. Wote hawa piga sub. Ukinisaidia kuwapata aisee itakuwa poa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Huku kwema Bro,mvua tu,,nilikuwa busy busy kidogo,,kila kitu kipo sawa bro,namshukuru Mungu.
Miyeyusho tu sis hakuna kitu hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumi la mwisho