Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilishangaa kugundua kwamba hata mwanamapinduzi Che Guevara kumbe naye anajumuishwa kwenye magaidi hatari waliowahi kutokea. Na imeandikwa vitabuni kabisa. Kwamba kazi yake ilikuwa ni kuzunguka duniani kote kueneza ugaidi...Labda.
Vipi ankoo (stupid boy) kwema ? Naona umeandamwa na mambo makuu mawili kwa wakati mmoja.Ankooo @AndjulView attachment 1111669
Poleni mkuu!!chelsea wamekuja kivingine kabsaTumepigwa tena leo hii Arsenal
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vipi ankoo (stupid boy) kwema ? Naona umeandamwa na mambo makuu mawili kwa wakati mmoja.
Mungu akupambanie uyamalize salama [emoji120][emoji120][emoji120]
Salama ankoo[emoji23][emoji23][emoji23],tuombe uzima ankoo,kila kitu kitakuwa sawa[emoji120][emoji120]Vipi ankoo (stupid boy) kwema ? Naona umeandamwa na mambo makuu mawili kwa wakati mmoja.
Mungu akupambanie uyamalize salama [emoji120][emoji120][emoji120]
Poleni mkuu!!chelsea wamekuja kivingine kabsa