Mwili wa Etienne Tshisekedi utawasili tarehe 30 na mazishi yake yatafanyika katika uwanja wa Martyrs Stadium , kulingana na nduguye Askofu Gerard Mulumba.
Mulumba anasema kuwa baada ya kuukaribisha mwili katika uwanja wa ndege , utasafirishwa hadi katika uwanja huo kwa maombolezi .