myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Daah consu weee opss kaghalo oooh kho khooo
Kweli ni Bar!Bar Es Salaam
Stop ni nini?Dear Numbisa mazoezi mwanzo mwili unakuwa hivyo ila ukizoea wala kawaida mimi nisipo fanya mazoezi naumwa mimi bra sivai sipendi ni mwendo wa stop
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].Haina tatizo mbona [emoji38][emoji38][emoji38], SYB anakeep records
Ati nini?Watunza rekod wengi hapa SYB akasome utashangaa anaibuka usiemtegemea [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata kupinga hii mtu unashindwa!Asante jirani. Chelsea sio wazuri ila Arsenal nyanya!
Nimeona comments zako huko.Je, wanawake wa Tanzania wanatumia menstrual cups au tampons wawapo kwenye hedhi?
Naimani warembo wa JF mko poa.. Naombeni mnisaidie kitu kimoja Najua matumizi ya sanitary pads(taulo za kike) kwa ajili ya kujisitiri kipindi cha hedhi yamezoeleka. Sanitary pads(Taulo za hedhi) Hivi kuna wanawake Tanzania ambao wanatumia Tampons au Menstrual Cup kipindi wakiwa kwenye...www.jamiiforums.com
My sis kazi anayo aisee...[emoji16][emoji16][emoji16]Kg njoo huku! Avatar yetu imetolewa!
like inageuka pesa ama vipUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Bado anatembea na taa yake mchana mithili ya Socrate huku akidodosa watu na lile swali lake chokonozi la "Nyege ni nini?"Ile biashara yake ya supu ya makende ya mbuzi inazidi kushamiri pale Vingunguti. Hakika yupo busy sana, nilimuona asubuhi ya leo
Kumbe unajuana na Beef Lasagna.
Vizuri
Yes wifi yangu huyo mke wa kaka yangu 😊😊
😀Inafurahisha sanaHongera wana familia kuwa pamoja hapa
Kumbe na wewe ni mwanaAseno mwenzangu [emoji16][emoji16][emoji16]Yaani hata kupinga hii mtu unashindwa!
Dah ntahama timu mimi...
🤣Visingizio hivi!
Halafu si wanasemaga eti una sumu kama mahindi yamehifadhiwa kwa muda mrefu na/au kutiwa madawa ya kuzuia wadudu?Yaani dona siliwezi! chunguu