capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Dah nimeikubali jamaniii Kuna watu wanaishi sio sisi wengine
Nope! Just mkaribishaji,..ww ni Admin au?π
πππ ni mtu na bando lako tu kushuhudia burudaniRamadhan ikiisha patakua hapatoshi hapa.Ahadi zimekua nyingi πππ
Nope! Just mkaribishaji,..
Nawajibika kwa wageni ktk Uzi huuπ
Ukikosa amani na furaha hata uwe na utajiri wa aina gani unaweza fanya lolote ukaishangaza dunia Kuna mabillionea wanashindwa kupata hata tone la usingizi pamoja na utajiri Kuna vitu nao wanakosa.Wahenga walisema pesa ni sabuni ya roho, lakini cha ajabu utasikia hawa mamilionea na mabilionea wengine wanajiua! Unabaki kupigwa na bumbuwazi. Mtu ana utajiri mkubwa kiasi hiki anawezaje kupata wazo la kutaka kujiua na kweli akalitimiza? Kipi kinachoweza kumsumbua hadi akatishe uhai wake na wakati afya yake ilikuwa bomba? Maisha kweli ni SAFARI NDEFU.
Fedha na mapenzi ni vitu vizuri lakini mara nyingi vinatusababishia matatizo makubwa...Ukikosa amani na furaha hata uwe na utajiri wa aina gani unaweza fanya lolote ukaishangaza dunia Kuna mabillionea wanashindwa kupata hata tone la usingizi pamoja na utajiri Kuna vitu nao wanakosa.
Ahsante sana Min 92. God Bless You Too!!Ok nashkuru kwa ukarimu wako.. God bless you. π
Ukikosa amani na furaha hata uwe na utajiri wa aina gani unaweza fanya lolote ukaishangaza dunia Kuna mabillionea wanashindwa kupata hata tone la usingizi pamoja na utajiri Kuna vitu nao wanakosa.
Ahsante sana Min 92. God Bless You Too!!
Should I kiss Back? π π
Watunza records wamelala usiwaamshe Bro π¬ π¬ π¬Injinia soma hiyoooooooooooo!
Ni kweli Bradha na mara nyingi inakuwa hivyo unaweza ukawa na pesa love ikakusumbua matokea yake maamuzi magumu ya kujiuwa mungu atupe nusula kwa hiliFedha na mapenzi ni vitu vizuri lakini mara nyingi vinatusababishia matatizo makubwa...