Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

No Bak hata kama ukiwa billion sio kila kitu utapata tatizo linaanzia hapo.
 
Issue ya kujiondoa uhai hata kama life limempiga mtu binafsi siielewi pia...Ni watu wengi wanapitia magumu sana lakini hawajiui.

Ninachojitahidi ni kutokuwajudge wanaofanya matukio ambayo wakati mwingine sijui kwanini wanayafanya au sioni sababu ya wao kuyafanya.
 
Si suala la kupata kila kitu Hawachi bali ni kuweza kuafford kwenda kuwaona wataalamu wamsaidie mwenye tatizo la kutaka kutoa uhai wake na wako wengi tu wanasaidiwa but few others they don’t give a damn about their loved ones.

No Bak hata kama ukiwa billion sio kila kitu utapata tatizo linaanzia hapo.
 
Ni mental issues...Sense of total worthlessness. Yaani mtu unajiona kuwa huna thamani na kuwa we ni mzigo tu kwa ndugu na wapendwa wako. Akili yote na roho vinakuaminisha hivyo kabisa kabisa.

Kwa waliowahi kuwa na siriazi depression wanaelewa hili suala. Na mara nyingi wala halihusiani na kuwa na maisha magumu ama la ndo maana suicide haina cha tajiri wala masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…