Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Tayari
Ni mtu mzito sana ndio maana ameona atuwakilishe ipasavyo.Nimemuona bro wetu ametuwakilisha huko. Safi sana !!!
Nikiangalia mambo ya waafrika sio tunafeli wapi Nikiangalia marudio ya final Jana ya CAF Trump anongea ukweli
Jina! unapoomba unataja.. ukisema general.. ni kwa wote... ukitaja jina inamlenga mlengwa!Kikubwa dhamira sio jina
Karibu sana mkuu European night today karata yako wapi mkuuHodi hodi Wakuu
Ni Mimi Cole Williams nawasalimu katika jina la amani na upendo zaidi Afya na uzima
Nafikiri hawana wivu wao..Unafikiri Kuki na sis wakiona hii watajisikiaje?
Karibu sana mkuu European night today karata yako wapi mkuu
😁 Sana na udumu milele until 1M[emoji16][emoji16][emoji16]. Wageni (wa kike) wanapata mapokezi ya heshima sana. Udumu uzi wetu !!!
Kuchapiwa kunauma sana bro. Askofu kapaniki balaa. Halafu limke lake zuri jeupe tipwa tipwa yaani mpaka raha...Naona kuna liaskofu limehondomola hapo...Hahaha bro bhana nimeona video clip Aisee ni Hatari
Wewe una wivu?Nafikiri hawana wivu wao..
Nimeona kaulizwa swali huko na kajitahidi kulijibu [emoji16][emoji16][emoji16]Ni mtu mzito sana ndio maana ameona atuwakilishe ipasavyo.
Kuhongwa kigari nnachoweza kununua mwenyewe inakuwa haina mvuto!Hata ukihongwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yuko vizur bro wetuNimeona kaulizwa swali huko na kajitahidi kulijibu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukitaja Capitalpool dua inafika kabisa maana nia yako inajua nani umemlengaJina! unapoomba unataja.. ukisema general.. ni kwa wote... ukitaja jina inamlenga mlengwa!