Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yes it can happen.
amtoe dele alli ameshuka kiwango, haiwezekani mimi ninaye ishi njilinji nafahamu hilo halafu kocha hafahamu.

asemavyo haraka haraka

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg.Humphrey Polepole amesema wabunge wa CCM wenye nongwa kila serikali inapotatua tatizo, ikiwemo mchakato wa kununua korosho,watakuwa na hali mbaya Uchaguzi wa 2020, huku akiwataka watafute kazi nyingine kwakuwa watakatwa majina yao.
 
Nongwa kwa kuikosoa Serikali dhalimu? Wameshahalalisha hawa wahuni uwepo wa Bunge DHAIFU.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…