capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ange m-slap that ButtπππSYB ndio angekua huyo Askari hapo leo angefanya tukio moja kubwa sanaaaaa
ππππAnge slap that Buttπππ
Mkuu walikuwa na haki ya kufanya hivyo that's was final kwa nini VAR iwe mbovu siamini kwa hilo
Basi wewe ulishajikatia tamaa na timu yako
Avunje Laana yake au ile ya timu?
Daah penati ya mapema mno
Game ishaharibika hii
I took a good nap. Tayari mshanizushia dah !!!SYB ndio angekua huyo Askari hapo leo angefanya tukio moja kubwa sanaaaaa
It is against the law, sir !!!Ange m-slap that Buttπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na oil ingepimwa
Yaani huyu Mpumbavu sissoko ananyosha mikono kama anacheza rede
MaBae wa uzi wetu hapa wakiiona hii huyo sijui Evelyn wenu kwisha habari yake...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]I am addicted to sex
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijui, zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona...www.jamiiforums.com
Hongera sana kamanda....[emoji122][emoji122][emoji122]Taratibu bro
Laana ipo EPL πHakuna cha laana bro, Karibu tushangilie ubingwaView attachment 1114686