Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bondia mzuri?Pole yake lakini ni bondia mzuri sana
Hahahaha mkuu
Hahaha msimu tunaitoaLaana ipo EPL [emoji16]
Best lineup ya liver kwa sasa hila Jana Firmino aliflop sanaLine up ilikuwa hivi..View attachment 1114722
Mkuu tupe hongera zetu msamilie MessiUpanga ndio nyumbani sio Kigogo
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watazinduka tu bro, teh teh teh.
Kuzinduka wangezinduka Barca bro
Hahahahaha mkuu mkuu final ni final tu
Capitalpool njoo kuna salamu zako huku [emoji1734][emoji1734][emoji1734]
Kweli Jana hatupiga gengerpressingBro post zako zinanipa burudani sana
That was finalUCL fainali ilichezwa Liverpool vs Barcelona, hii iliyopita ni kama mechi ya makundi tu
Jana tu hapa alikuwa ananipigia makelele eti Joshua ni ze besti ofu ze besti. Leo kapigwa kama mtoto mdogo na jamaa lenye manyama uzembe....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo champ wake nini ???