Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Best RB kwa sasa EPL
Haka kazee nacho cha kuondoka tu
Hongera na wewe pia mkuuHongera mzee wa liver
Liver ni mabingwa wa kushanhilia, acha tufurahi
Hahahaha klop alimbembeleza sana abaki akagomaAna hali mbaya, anaona nyota nyota[emoji23][emoji23]
AMINI UNAWEZA UTAWEZA KAMA UNAVYOAMINI NGUVU UKINYWA SUPU YA PWEZA
Ametoa gundu la kukosa kombe katika fainali sita
African princes wanatesa ulaya I wish Sama goal afikie level yao
Hapa hapa jamviniLiverpool fans kikao wapi tushangilie ushindi?!
Alifanya haraka kuchukua uraia wa Belgium angebaki na uraia wa Kenya ingependeza zaidiNi Mbelgium huyo.
Madrid Real nafikiri wana UCL titles 13Hivi ni timu ipi inaongoza kwa kubeba vikombe vingi vya UEFA?
Tutashinda na hiyoLiverpool to play Chelsea in Uefa Super Cup in Istanbul
Jana tu hapa alikuwa ananipigia makelele eti Joshua ni ze besti ofu ze besti. Leo kapigwa kama mtoto mdogo na jamaa lenye manyama uzembe....
Na Liverpool walishatoa msimamo kuwa wasingeshiriki michuano hiyo kama wakiwa mabingwa wa ulay kutokana na FIFA kuongeza vilabu kwenye mashindano hayo kuwa 24 mechi zitakuwa nyingi bila sababu mfumo wa sasa bado ni mzuri wa mtoanoHowever there is no World Club Cup for Liverpool to play in this year, after Fifa made it a four-yearly event, with the next one in 2021. It had been played annually from 2005 until last year.
Bondia mzuri?
Bondia mzuri hupimwa jinsi anavyoface adversity. The guy is soft and has no heart. Pambano la mikanda yako mitatu unasema kirahisi tu eti I am done. Akina Tyson, Hollyfield, Lewis, Foreman, Frazier, Ali na mabingwa wa ukweli unafikiri wangeachia mikanda yao kwa kauli tu eti I am done?
Watakuwa wamemjua udhaifu wake na kuanzia sasa itakuwa ni kujibondea tu. Ni ulimwengu wa Wilder sasa japo naye ana mapambano makali sana ( King Kong Ruiz na Tyson Fury)...