D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nymphomaniacI am addicted to sex
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijui, zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona...www.jamiiforums.com
Jaribu pale Liverpool night Club ndio kuna shangwe jingi kwa sasaWadau na ramadhani hii Night club ipi ipo njema,nikafurahi.
Hee kumbeKama title yake kamili ipo kuna uwezekano wa kuupata ...
Inawezekana kuna kaukweliHuyu jamaa wanamchukulia poa ila inawezekana akawa anasema kweli kuhusu uzi aliofunguliwa 😁
SikuuonaUliuona huo uzi?
Kweli mambo ni mengi muda ni mchache. Huyo SIKAI kuna sredi alianzisha akasema kuwa mwaka huu anagonga 50 na ni mtu mzima na heshima zake. Sasa 50 kweli na purukushani hizi za kulalwa na kudhalilishana na maandaeitini wa humu wapi na wapi? Si angalau aje kwetu wahenga wenzie?
Kazi kweli kweli...
Kuna mambo mengi sana hapa JF. Ni kama mtaani tu....Huyu jamaa wanamchukulia poa ila inawezekana akawa anasema kweli kuhusu uzi aliofunguliwa [emoji16]
Ndoa gani za hivi? Hasa katika kipindi hiki?Ndoa ni ndoano.. View attachment 1115148
Tutakoma indeed wallahi mane lavusi mi Amun RAFuraha hazijaisha..View attachment 1115054
mbwa kala mbwa na kinyesi katoa mbwa.
Japo limguu halionekani hapa ila huyu maza nampenda sana. Na akili anazo. Mbea hapo kaishia kuchezea vitasa si mchezo...Safi sana !!!