Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

huyo sikai alisema alitembea na kijanafunzi wakati yupo chuo na akamtaja jina nakumbuka alisema anaitwa chris kama nipo sahihi.
sasa inawezekana jamaa ndiye brown mwenyewe kutoka kolomijee.
kuna utofauti mkubwa sana niliouana kati ya yule jamaa na thread za ndege joni.
alichokosea yule ahjumma kwenye uzi wake ni kumtaja jina la mvulana
 
Aiseee [emoji16][emoji16][emoji16]

AJ kachezea kipigo ka mwanasesere.

Lakini mbona hao Toronto Raptors wanaendelea kushinda japo shujaa wao Drake yupo nao bega kwa bega?
 
Aiseee [emoji16][emoji16][emoji16]

AJ kachezea kipigo ka mwanasesere.

Lakini mbona hao Toronto Raptors wanaendelea kushinda japo shujaa wao Drake yupo nao bega kwa bega?
Huyo AJ hana tofauti na spurs waliodhan laana ya klopp itawabeba na kuwapa ubingwa wakaishia kuzembea mechi nzima
 
Hapo nimeelewa sasa. Kumbukoni. Enzi za chuo...

Huyo Ndege John unamtaja tajaga sana. Ni nani? Ni code ya mtu fulani ama?
 
Hahahaha hili jina ahjumma unalipenda
 
Hapo nimeelewa sasa. Kumbukoni. Enzi za chuo...

Huyo Ndege John unamtaja tajaga sana. Ni nani? Ni code ya mtu fulani ama?
member fulani humu ndani mwenye nyuzi za ajabu ajabu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…