Nikweli bro humu ndani ni kisanga ata mwenyewe mpaka kutulia humu likes ilikua ni kukwepa changamoto nyingi nilizokua napitia humu Jf maana ilikua ni tabu kuliko ata ninazoweza kupitia nikiwa mtaani...Kuna mambo mengi sana hapa JF. Ni kama mtaani tu....
Ngoja tuone atakavyosonga mbele baada ya kipigo hiki. Anaweza akajifunza kutokana nacho na akaishia kuwa bondia bora zaidi au ndiyo inaweza kuwa mdororo moja kwa moja. He showed zero mental toughness and this is worrisome kwa champion mkubwa kama yeye.
Enzi za kuitwa shemeji kila unapojitokeza hahahaNikweli bro humu ndani ni kisanga ata mwenyewe mpaka kutulia humu likes ilikua ni kukwepa changamoto nyingi nilizokua napitia humu Jf maana ilikua ni tabu kuliko ata ninazoweza kupitia nikiwa mtaani...
Staki tena kumuamini huyu jamaa. Nasimama na Wilder kuanzia leo asubuhi.Ngoja tuone atakavyosonga mbele baada ya kipigo hiki. Anaweza akajifunza kutokana nacho na akaishia kuwa bondia bora zaidi au ndiyo inaweza kuwa mdororo moja kwa moja. He showed zero mental toughness and this is worrisome kwa champion mkubwa kama yeye.
😁😁Enzi za kuitwa shemeji kila unapojitokeza hahaha
Aisee. Kuna wengine wapo JF kusaka umaarufu. Halafu wanatumia id feki. Kama wataka kuwa maarufu inasaidia ukitumia majina yako kamili.member fulani humu ndani mwenye nyuzi za ajabu ajabu.
Wana JF Tusioogopa KIFO tukutane hapa
Hii Ni kwa wale ambao hatuna hofu na kifo tunachojua Ni kwamba Kama Kuna uhai pia Kuna kutokuwepo kwa uhai.kwa hivyo tunafanya mema na tumeshamuona Mungu tayari na bahati nzuri hatujajiha attach na material za ulimwengu huu.tumewaachia utajiri wengine wanaotafuta pain Tukutane hapa watu wa MUNGU...www.jamiiforums.com
Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN
Kuna watu wanalia dunia haiko fair.Dunia Mungu kaiumba vizuri lakini binadamu hakuna fair Kuna mtu mnafanya naye kazi na ishu hamjui maskani kwake wapi.ghafla anakufa mwili wake wanachukua polisi.mtu Kama huyo ambaye amekuja mjini bila ndugu anatakiwa atulizwe umwite Kama ndugu unaenda mpaka...www.jamiiforums.com
👏👏👏Aisee. Kuna wengine wapo JF kusaka umaarufu. Halafu wanatumia id feki. Kama wataka kuwa maarufu inasaidia ukitumia majina yako kamili.