Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
lakin ndio raha ya uwepo wa demokrasia kwenye forum kama hizi, haipendezi kuona wadau wote tuna fikra sawa.
Kweli tupu. Kila mtu na lwake ndiyo asili yetu. Ndo maana ni vigumu mno kuwafanya watu wawe na fikra moja haijalishi kama ni fikra sahihi namna gani

#ZidumuFikraSahihizaMwenyekiti...
 
Halafu bae wa uzi hata hakua na amani anaingia kuchungulia hali ilivyo kisha huyooo anakimbia
Alikuwa na maisha magumu utafikiri digidigi. Anazinduliwa huku halafu kule kuna wazinduaji kama 10 wanalalamika nao wanataka kuzindua presha yake sipati picha. Yawezekana hata alikonda aisee [emoji16][emoji16][emoji16]

Hicho cheo cha uBae wa uzi kweli bado anacho? Hakijachukuliwa kweli?[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Tatizo mrithi wa bae wa uzi muoga muoga anazinduliwa kiaina anakimbia kimbia,watunza kumbukumbu bado tunajaza mafaili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…