Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee Baba naona unajipigia pande. Halafu unataka uwe Katibu Mkuu wa CHACHAWA, thubutu yake! Ila hata wavuvi kwenye huu uzi tupo, umetutenga hapo! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Mpaka na umri wangu kabisa nimetaja ili kuondoa maluweluwe halafu unanituhumu kuwa najipigia chapuo? Na wavuvi mmo kwenye kundi la wajasiriamali poti...

Baada ya kumalizana na Veritas home unatimba lini?
 
Asante sana SHIMBA YA BUYENZE Mungu akubariki. Ila siamini km una miaka 80 πŸ˜› hata mimi nimevutiwa na huu Uzi, upo cool sana.... Nshakuru kwa kunipokea vizuri.
 
Nakuona mtunza records 😬 😬 πŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…