Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ANATELEZA TU KAMA KAMBALE 😁

Bila kujali unashabikia timu gani lazima umkubali Trent Alexander Anorld, Mmoja kati ya full back matata kabisa kwa sasa EPL kijana ana miaka 21 tu alipopewa nfasi tu basi hakumuangusha kocha akafanya kweli naam hii ni mara ya pili kucheza fainal ya Uefa champions league anaingia katika vitabu vya rekodi kwa kuwa mchezaji mdogo kufanya hivyo.
 
Bila ubishi ni FB bora kabisa kwa sasa Europe
 
Facts
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
KAMWENE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…