Hapo kikubwa ni World Cup tu mkuu hivyo vingine rudi nyuma CR7 katika huo umri alikua pale Man U, matusi yake mwenyewe unajua...Mh mkuu mbona anayoyafanya yanaonekana dhahiri
👉Mshindi wa kombe la dunia
👉Msimu huu yeye na Messi walikuwa wanachuana kuwania Golden boot
👉Kanyanyua ubingwa league 1
👉mfungaji bora league 1
👉Golden Boy Winner
Kiufundi
👉Mbappe ana 'pace' kali
👉High dribbling skills and accuracy
👉Powerful header
👉Uwezo mkubwa wa kuwabeat defenders
👉Uwezo wa kutupia nyavuni kamba za adabu naam Mbappe hacheki na nyani anapokua mbele ya lango 'killer instict'.
👉akili ya mpira, anafanya maamuzi ya haraka yenye faida kwa timu
👉all arround no. 9
Mambo yoye haya katika miaka 20 tu na bado anaendelea kukua kisoka katika umri huu Ronaldo na Messi walikuwa bado wanajishauri mara mbili mbili nini wafanye uwanjani.
Salama mkuu. Habari za huko na familia inaendeleaje?Mkuu habari za masiku tele
Penda sana mnyama huyo..
AsanteWakulima poleni
Duh!!Full Kicheko[emoji23][emoji23]View attachment 1116194
Huyo heshimaPenda sana mnyama huyo..