Aisee Single mama nina watoto na wajukuu bila kusahau vitukuu utaweza baba
Namfahamu vizuri huyu bro. He is very responsible. Labda tu kompetisheni itakuwa kubwa ila ataweza [emoji106][emoji106][emoji106]
Ana nyodo na ubishoo sana huyu dogo. Bila kumtolea povu sometimes mambo hayaendi kabisa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahahahahaha, naona umemtolea povu kiaina bro wako[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Soma povu langu hapo juu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji106][emoji106][emoji106]
Ulipita ukiwa kwenye treni ama kwa miguu??kuna sehemu nyingine hyo unatembea kama dak 20 hv,ndio unatoka ,,shughuli ni ukikutwa na treni humo ndan,,unaweza kujikojoleaMwanza south daah enzi hizo palikua na matunda passion(inasemekana)mie nilipita pakavu hadi raha kaugiza kake
We muache namzoom tu [emoji16][emoji16], kweli yeye ndiyo wakukuringisha iphone hiviEvenchuale...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Really?
Kwa Bongo hii uwe jiniazi usiwe yote mamoja tu. Tena usipojiangalia mtaani kule utapata taabu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Komaa naye sis...We muache namzoom tu [emoji16][emoji16], kweli yeye ndiyo wakukuringisha iphone hivi
Unapendaga sana kunitisha na kuninyanyasa sijui kwa nini.
Kama na wewe ni Average tujuane hapa πππ
Na ana kesi ya ubakaji huko Brazil japo alibakia Ufaransa.
YesVery True My Love,
You doubt it?