Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi mama yenu yupo kama mama yangu? Akipika UGALI mchana usipokula ukabaki halafu jioni akipika WALI hakupi, mpaka ule UGALI wako uliobakizwa mchana. Ila akipika wali mchana usipokula Jioni akipika ugali Ukiuliza wali wako wa mchana anakwambia ulikuwa wapi wakati wenziyo wanakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…