Mmenipotezea hewani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninge bana
Nimeyasadiki maneno yako.Kama usemavyo, yanifaa nini kuona viganja na kuukosa usingizi??Huku tunaendelea vyema bro. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
daah long time sijapata taarifa zakeHilo halina ubishi bro..
Ha ha ha zimefika bro,,wapi sweetlee bro??
Hacker ana makusudi sana huyu,ila soon ntakuwa nayo mwenyewe,tegemea mambo mema kama zaman broHahah huyo hacker kishakua chaka lako bro
Wewe noma mzee hatukuwezi π[emoji23][emoji23][emoji23]nakuona bro,,unanijaza sio[emoji23][emoji23]
Ha ha ha aisee,,nmekuwa mimi tenaWewe noma mzee hatukuwezi [emoji3]
Ok poa bro!!daah long time sijapata taarifa zake
ππππPamoja bro hiki kijiji ni zaidi ya familia
msalimie wa upande wa pili kule
Nakuona mzee ππHii post unaweza kuombea mkopo bank na ukapewa bila tatzo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Update Muhimu au vipi Mkatalunyaππππ
Umenikumbusha mbali sana mzee ππππHilo halina ubishi bro..
Ha ha ha zimefika bro,,wapi sweetlee bro??
King anainjoi balaaThe King anakula ujana to the max indeed wallahi...
Tumuombee mema, furaha, raha, mafanikio na malavidavi yasiyo na kikomo...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sure bro alafu hizi salamu huwa anazifikisha kweli?Update Muhimu au vipi Mkatalunya
Hiyo ndiyo maneno sasa. Usije jikuta unalinganisha viganja hivi na vile (shemeji) bro. Yashindeni majaribu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nimeyasadiki maneno yako.Kama usemavyo, yanifaa nini kuona viganja na kuukosa usingizi??