Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo picha inaonyesha wana woga fulani hivi. Trump anadhani yeye ni King kufanya vile atakavyo na Republicans wamepiga kimya tu. Angeyafanya haya Obama wangeweza hata kuingia WH ili kumtoa kwa nguvu.

Trump bana...

Kaweka hawa watoto kwenye nafasi nyeti serikalini bila qualifications wala experience yo yote. Demokrasia ni dhana pana sana !!!
 
Kweli kabisa na mifano iko mingi sana ya KARMA kufanya vitu vyako.

 
Hebu nione kwenye huu ufalme basi[emoji23][emoji23][emoji23]
#nidhambikupitwanaubuyu#
 
Hiyo picha inaonyesha wana woga fulani hivi. Trump anadhani yeye ni King kufanya vile atakavyo na Republicans wamepiga kimya tu. Angeyafanya haya Obama wangeweza hata kuingia WH ili kumtoa kwa nguvu.
Yeah!

Imagine eti Sasha na Malia ndo wangekuwa wakubwa halafu baba yao afanye hivi weeee !!! Hata civil war ingepiganwa aisee...Mahillibillies na majemedari wao akina Limbaugh, Hannity, Ingraham na Breitbart huko aisee wasingekubali...

Demokrasia yao huyu jamaa ameiyumbisha sana...
 
Inashangaza na kusikitisha kwa kweli na 2020 anaweza kabisa kushinda tena huyu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…