Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Bak[emoji137][emoji137]Kweli kabisa na mifano iko mingi sana ya KARMA kufanya vitu vyako.
Huyu kijana huwa anakosea na kutuma picha zake kisha fasta anashtuka na kufuta. Jana bana kakosea katuma kucha za wifi yetu ,according to bro wifi ana mvuto anzia nywele za kichwani hadi msabwax wa haja bila kusahau miguuuHebu nione kwenye huu ufalme basi[emoji23][emoji23][emoji23]
#nidhambikupitwanaubuyu#
Democrats hawana strategy. Na sasa wanataka kuingia kwenye mtego wa impeachment. Biden tu akipata mdororo 2020 Trump atashinda kirahisi tu.Inashangaza na kusikitisha kwa kweli na 2020 anaweza kabisa kushinda tena huyu.
Hate crimes in Liverpool have decreased by 19% since Mohamed Salah joined in 2017
Kwema sana shemeji. Hujambo?[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]kwema?
Niambie kamanda.Malcom Lumumba
Democrats hawana strategy. Na sasa wanataka kuingia kwenye mtego wa impeachment. Biden tu akipata mdororo 2020 Trump atashinda kirahisi tu.
Mnazidi tu kuniumiza roho. Sijalala jamani...Wakubwa wanafaudu [emoji24][emoji24][emoji24]Huyu kijana huwa anakosea na kutuma picha zake kisha fasta anashtuka na kufuta. Jana bana kakosea katuma kucha za wifi yetu ,according to bro wifi ana mvuto anzia nyewe za kichwani hadi msabwax wa haja bila kusahau miguuu
Huyu Dada amekutwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha pamoja na yote dada huyu ndugu zake hawajulikani!Anajulikana kwa jina la Rehema Atanas Kidaye au Rose ,Na leo hii anazikwa na marafiki na majirani zake maeneo ya Mwananyamala..!! Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahala Pema peponi. Wote tuseme #AMEN #RIP 😢View attachment 1117539
Nimeona mahali wanasema eti kauwawa. Dunia hii. Apumzike kwa amani. Aliyemuua naye siku moja atajibu. Ni suala la muda tu !!!Huyu Dada amekutwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha pamoja na yote dada huyu ndugu zake hawajulikani!Anajulikana kwa jina la Rehema Atanas Kidaye au Rose ,Na leo hii anazikwa na marafiki na majirani zake maeneo ya Mwananyamala..!! Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahala Pema peponi. Wote tuseme #AMEN #RIP [emoji22]View attachment 1117539
[emoji23][emoji23][emoji23]kitafika just muazime davet mbio zake anazotimuaga mida ya uzinduzi[emoji23][emoji23][emoji23]asante kwa zawadi.
Sasa nawaza na hizi mbwa za hapa mtaani na hiki kitoweo sijui kama ntafika nyumban salama.
Niko poa sijui wewe