mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ana familia na watoto...dah, yamenikuta...
Wakuu nna balaa hapa nashindwa nilitatuaje,,, ebana ,, nilikuwa katika mishe zangu za kibiashara katika mkoa wa jirani na nnapoishi na familia yangu, asa huku nilipoenda kuna kimchepuko nilikuwa nakimendea kwa siku nyingi sana ,, mtoto wa kitanga ameumbwa akaumbika, asa jana ndo ilikuwa mechi...www.jamiiforums.com
Mamboz upo weyeBak[emoji137][emoji137]
SafiLIVERPOOL hawana ujanja kwa Jurgen Klopp kwa sasa. Baada ya kuwapa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya sasa wanachofikiria ni kumsainisha dili jipya watakalokuwa wanamlipa Pauni 10 milioni kwa mwaka.
TFF imesema kuwa taarifa hiyo imethibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, ambapo katika michuano ya shirikisho barani Afrika, Azam FC na KMC zitaiwakilisha Tanzania.Yanga
YNWAPoaz
LIVERPOOL hawana ujanja kwa Jurgen Klopp kwa sasa. Baada ya kuwapa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya sasa wanachofikiria ni kumsainisha dili jipya watakalokuwa wanamlipa Pauni 10 milioni kwa mwaka.
Asa wanangu wa Yanga piga keleleee....ila dah hata tukienda tunaweza angukia pua tu hali bado si nzuri 😢Yanga yarejeshwa michuano ya Klabu Bingwa 2019/20
JUMANNE , 4TH JUN , 2019
NA MWANDISHI WETU
Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaz kuwa klabu ya Yanga itaungana na Simba kushiriki michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao.
TFF imesema kuwa taarifa hiyo imethibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, ambapo katika michuano ya shirikisho barani Afrika, Azam FC na KMC zitaiwakilisha Tanzania.
Hiyo ni kutokana na Tanzania kupanda katika viwango vya ubora wa vilabu katika miaka ya karibuni ambapo hivi sasa imekuwa katika nafasi ya 12, ambapo itapata nafasi ya kuwakilisha timu 4 katika michuano ya kimataifa.
Isome barua ya TFF hapo chini.
Asa wanangu wa Yanga piga keleleee....ila dah hata tukienda tunaweza angukia pua tu hali bado si nzuri 😢
[emoji23][emoji23][emoji23]taarfa zake tunazo,sema huwa anavunga kama hatuna file zake[emoji23][emoji23]Umenikumbusha mbali sana mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]hashtagKing anainjoi balaa
#ilahuwaanakeshahumumtotoanampetipetisaangapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hijabu ehhh,Msalimie sana hacker bro ila akijua unamuita hacker nahisi hijabu halitavalika siku hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23]